SEEDS

 


SIFA ZA MBEGU YA TEMBO SC 719 🐘 TOKA SEEDCO.

🔺Inastawi nyanda za Juu kusini. ( Iringa,Njombe,Mbeya, songea ) 

🔺Inakomaa kwa siku 120-150

🔺Huvumilia Ugonjwa wa Bakajani.

🔺Suke lake Kubwa na Hufunguka vizuri.

🔺Mavuno Mengi( Gunia 50-55)

🔺Punje zake ni Kubwa na Ngumu hivyo zinakoboleka vizuri.

🔺Ina Majani Mengi hivyo ni nzuri kwa Wafughaji baada ya Mavuno kulisha Mifugo yao.

Wakulima wa Nyanda za Juu kusini,Mnangoja nn kupata Mbegu hii Bora Kabisaaa? Hujachelewa Bado ,Tembelea Duka la Pembejeo lililo Karibu nawe ujipatie TEMBO 719.🐘🐘🐘🐘

""Knowledge is Power""

Felicasto Agrocare For Reliable and Sustainable Services 

Previous Post Next Post

Contact Form