FUNGICIDES

 Trade Name: Multi Triacarb

Active ingredient: Trideminol 25% + Cabendizim 25%

M.O.A= Systemic Fungicide.

▶️ Ina wigo Mpana wa kufanya kazi.

▶️ Tiba na Kinga ya Ukungu,Kutu, Ubwiri Unga na Ubwiri Chini,Bakajani Chelewa na Wahi,

▶️ Tiba na Kinga ya Ugonjwa wa Chule (CBD ) kwa Kahawia.

▶️Huzuia Maua na Matunda Machanga kupukutika.Na huzilinda Tegu ( Kwa Mikorosho) zisipukutike.

▶️Inapenyeza na Kukaa kwenye Mfumo wa Mmea na Huulinda Mmea kwa siku 10-14 usipatwe na Magonjwa.

▶️Tiba ya Ugonjwa wa Smart kwenye Mahindi.

▶️Ukipuliza Kaa siku 5-7 kwa ajili ya Matumizi ya Mazao yako.( P.H.I)

▶️Huchanganyika vizuri na Mbolea za Majani isipokuwa Viuwakuvu na Copper.

▶️Kinga na Tiba ya Ugonjwa wa Kiuno( Damping off)

▶️Weka 40-50Mls / 20ltr za Maji. Rudia baada ya siku 10 kipindi cha Mvua nyingi na siku 14 kwa Mvua za wastani.

Inapatikana Kwetu Jumla na Rejareja. Mkombozi kwa Wakulima wa Korosho na Kahawa


Pamoja na Mazao mengine.

Felicasto Agrocare for Reliable and Sustainable Services 

Previous Post Next Post

Contact Form