NJIA ZA KUTUMIA CONFIDOL SHAMBANI.
1) Drenching= Unachanganya na Maji kwa Kufuata Vipimo kisha Unaweka kwenye Solo lako( Knapsack Sprayer) kisha fungua na Uiondoe Nozzle. Kisha Pulizia Kwenye Mmea chini.
2) Foliar Application= Hupulizwa Kwenye Majani.
FAIDA ZAKE
📌 Huangamiza Mchwa na Wadudu wengine kama Inzi weupe, Vithiripi,n.k
📌Huulinda Mmea dhidi ya Stress. Kuna vyanzo vikuu viwili vya stress kwa Mmea.
🔹 Biotic= Disease Stress
🔹Abiotic= Climatic Changes stress.
📌Mmea Unakuwa wa Kijani na Kukua kwa Uwiano sawa na Haraka.
📌Mmea kutoa Mauwa na kukomaa Pamoja. ( Uniform)
Vipimo / Dosage
10g kwa 10 ltr za Maji.( Unadrench Mimea Hadi 250 )
Kwenye Miche( Nursery weka 5gm/ 10ltr)
Nimeisisitiza maana Najua Ubora wa Bidhaa hii.
It
umie kisha utanijuza.