HERBICIDES

 Trade Name: Rice Bac 400 SC

Active Ingredients: Bispyrobac-Sodium 2,6-bis

(4,6-dimethoxypyrimidin -2-yl} Benzoet -----400g/L


SIFA ZAKE:

🔸 Huangamiza Majani Magumu kwenye shamba la Mpunga,kama Vile;


Sangari,Kwekwe,Pungapunga na Ndago.

🔸Ondoa Maji kwenye shamba la Mpunga kabla ya Kupulizia. 

🔸Puliza Mpunga ukiwa na wiki 3 yaan siku 21 tangu kuota.....

🔸weka Mls 7-10 kwa Lita 20 za Maji na Unaweza Kuchanganya na 2,4-D....

Karibuni Sana.

Previous Post Next Post

Contact Form