Trade Name: Rilor500 EC.
Active Ingredients: Pretilachlor 500 g/ L
SIFA ZAKE:
🔸Ni Kiuagugu kinachotumika Kabla ya Nyasi Kuota shambani.
🔸 Hutengeneza Utando juu ya Tabaka la Ardhi ambao huzuia mbegu za Manyasi/ Magugu aina zote Kuchomoza....
🔸Inao uwezo wa Kuangamiza Nyasi Changa sana za Umri Chini ya siku 4-7 .
🔸Hutumika kwa shamba ambalo liko na Unyevu wa Kutosha.
🔸Puliza baada ya kuwa umemwaga Mpunga wako. Hakikisha Shamba lako lina Unyevu wa Kutosha.
🔸Weka Mls 250 kwa 20L za Maji kwa Ufanisi zaidi na Matokeo Chanya.
Inapatikana Kwetu @Felicasto AgroCare Co Ltd.