HERBICIDES

 Active ingredient: Glyphosate 360SL / 480SL/41% 

M.O.A : Contact Herbicide.

KAZI YAKE;

👎Kiuagugu kisichochagua Manyasi ya kuua ,huangamiza Nyasi zote za muda mrefu na za Msimu,. Na Majani Mapana yoote na Vichaka vifupi.

👎Inaweza Kutumika katika Mfumo wa Kilimo Hai. Kisichotumia Jembe wala Trekta( zero Tillage System).....

👎 Ni Rahisi kuangamiza Magugu yoote utumiapo Glyphosate....

👎Huokoa Muda na kupunguza Gharama za Kutumia Nguvu Kazi kufyeka Vichaka .

👎 Hufanya Kazi kwa Ufanisi ndani ya siku 5-7 tangu ipigwe. 

👎 Huangamiza Nyasi zote mpaka Mizizi

👎Hutumika kama Palizi kwa mashamba ya Miti na Mikorosho.

👎 Kiwango cha Mchanganyiko= 350mls - 500mls / 20ltr za Maji.

👎Tumia Maji safi yaliyo na PH Ndogo ( 4.5 ) kwa Matokeo Mazuri.

🛑Majina ya Biashara hutofautiana





kulingana na Kampuni iliyoingiza. Mfano Round Up, Multi Glyphosate,Super Round,Force Up,Kalach,Eglysate Glyphocel,Glyphosnow, n.k.....

Karibu Felicasto Agrocare for Reliable and Sustainable Services. Tutakuhudumia Kulingana na Hitaji lako.

Previous Post Next Post

Contact Form