Felicasto AgroCare

 Mkulima wangu Mpendwa.

 Felicasto Agrocare tunakuthamini na Kukupenda sana.Pamoja na kukushauri Juu ya Matumizi Sahihi ya Viwatilifu na Mbolea,Tunakusihi uwe Makini sana wakati wote wa Upuliziaji Viwatilifu.

 ðŸ‘ŽVaa Vifaa kinga ( Overall, Gumboots, Gloves,Mask,Miwani,Kofia Ngumu)

👎Soma Kibandiko cha Kiwatilifu Chako kwa Makini .

👎Soma Endapo Kiwatilifu Chako kinaruhusu kuchanganywa na nn( Compatibility)

👎Soma Lini unapaswa Kurudia Baada ya Kupuliza Kiwatilifu Chako.

👎Soma Kiwatilifu Chako kinakutaka ufanye Mavuno baada ya siku ngapi ( Pre- Harvest Interval) 

🚫Usipulize Kiwatilifu karibu na vyanzo vya Maji.

🚭Usile wala Kuvuta wakati wa zoezi la Upuliziaji Viwatilifu.

📵Usiongee na simu wakati wa Kupuliza Viwatilifu.

🚯Usitupe hovyo Mikebe iliyoisha Viwatilifu ( Ni hatari kwako na Kwa Jamii Nzima) . Chimba shimo( Futi 3),Chukua Mikebe iliyoisha Dawa kisha itoboe toboe na kisha ifukie..

Felicasto Agrocare for Reliable and




Sustainable Services 

Kama Utapata Changamoto yoyote kiafya itakayosababishwa na Matumizi ya Viwatilifu tafadhal wasiliana nasi Mara Moja na Tutakushauri haraka kipi cha Kufanya 

Previous Post Next Post

Contact Form