Trade Name: TOPSHOT 60 OD
Active Ingredients: Cyhalofop Butyl 50g/L
Penoxsulam 10g/L
SIFA ZAKE
📌Kiboko ya Majan Mapana kwenye Mpunga,Nyasi,Ndago na Punga Punga kwenye Mpunga.
📌Huangamiza Magugu Tajwa Pasipo kuathiri Ukuaji wa Mpunga .
📌Itumike Wiki tatu baada ya Mpunga kuota shambani. Toa Maji kabla ya Kupuliza TOPSHOT 60 OD Kama shamba lako lina Maji .
📌Vipimo ni Mls 250-350 kwa 20L za Maji.
📌Inapatikana Katika Ujazo wa 1L na Bei ni Nafuu sana. Ukipuliza Mara Moja Magugu Hukoma na Hivyo inakuondolea Adha ya Kupalilia Mara kwa Mara.
📌Wasiliana nasi @Felicasto AgroCare Co. Ltd ili uweze Kujipatia Bidhaa yako Pendwa.