GREEN MIRACLE FOLIAR FERTILIZER
Composition: N 22%. P 21%. K17% + TE.
🔹Huchochea Mmea kukua kwa kasi,
🔹Huimarisha mizizi ya Mmea,
🔹Huurahisishia mmea uchukuaji wa Viini lishe,
🔹Huchochea mmea kutenga Vizur.
🔹 Huchochea Homoni za mmea kuweza kutoa Mauwa mengi,na Hatimaye Matunda ya Kutosha.
🔹Huzuia Upukutikaj wa Mauwa( Flowering Abortion)
🔹Hukuza Tunda na kulifanya liwe na Ngozi Imara na Inayong'ara.
⚠️ Unasubiri nn Kuitumia?!
⚠️Karibu Tukuhudumie,Ipo ya Kutosha.