Trade Name: Triumph 692EC
Active Ingredients: Lamda cyhalothrin 60g/L, Profenofoce 600g/L, Acetamiprid 32g/L
Mode Of Action: Systemic & Contact Insecticide.
▪️Huangamiza Kiwakijeshi vamizi kwenye Mahindi
▪️ Huangamiza vithiripi,ng'onyo na Tapa
▪️ Huangamiza wadudu Mafuta kwenye Mazao yote.
▪️ Huangamiza vidukari na Vimamba.
▪️ Huangamiza Kanitangaze kwenye Nyanya.
▪️ Huangamiza katapila kwa Mazao.
▪️ Huangamiza wadudu wa Kwenye Miwa( Sugar Cane Aphids)
▪️ Huangamiza Inzi weupe.
Vipimo: weka Mls 20 kwa Lita 20 za Maji.
🔸Rudia Baada ya siku 10-14
🔸Piga Jioni sana au Asbuhi sana...
⚠️Vaa vifaa kinga kwa maana Ni kiwatilifu kikali hivyo kinaweza kuleta Madhara na kwako..
Karibuni sana inapatikana Kwa Wingi Felicasto Agrocare for Reliable and Sustainable Services 💪