INSECTICIDES

 


Byter Tank 300SC

Active Ingredients: Chlorphenapyr 240g/L + Lufenuron 60g/L 

SIFA ZAKE: 

📌Huangamiza wadudu katika Rika lote Kuanzia Mayai hadi Vipepeo/Nondo.

📌Hulinda Shamba lako lisishambuliwe na Wadudu kwa siku 20.

📌Ina wigo Mpana wa Huangamiza Kanitangaze, Viwavijesh Vamiz kwenye Mahindi, Chorachora, Wadudu Mafuta, Inzi weupe, Utitiri wa Mafuta n.k

📌Haiachi Masalia ya sumu kwenye Mmea.

📌Bei yake ni Rahisi Mno .

Vipimo: 25mls / 20L 

Karibu Ujipatie .

Previous Post Next Post

Contact Form