Kiuagugu chenye Kukupa Matokeo ya Haraka zaidi, Ukipulizia Kaa Masaa 2 Nyasi linaanza Kukauka...
Yes Wapogolo wanaiita "Babua"...
Active Ingredients: Paraquat 200SL.
M.O.A : Contact Herbicide.
🔺 Huchoma kila kitu shambani..
🔺Huweza kupalilia Mimea mirefu kama Mahindi. Ila usije Kupuliza yakiwa mafupi. Na usigusishe Mahindi.
🔺Hata kama shambani kuna Maji ilimradi manyasi yanaonekana wewe yachape tuuu. Yatakufa.
Karibuni Sana.👏 Sema Babuaaaaa
Ninazo (
Paraquick, Paraforce na Parapasnow)